KARIBUNI VYOTE WADAU WA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI KUCHANGIA MAONI, MAKALA, MIJADALA,HOJA MASWALI, MAJIBU NA MENGINEYO YANAYOHUSU LUGHA YA KISWAHILI PASIPO BUGHUDHA WALA KARAHA. LUGHA ZA MATUSI HAZITOVUMILIWA.BLOGU HII HAIRUHUSU MIJADALA YA SIASA WALA DINI AU UTAIFA WA MTU AU RANGI YA NGOZI WALA KABILA. CHANGIA MAONI BILA WOGA KWA MAENDELEO YA LUGHA YA KISWAHIKILI
SULEIMAN MAGOMA: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA MDAHARO KATI YA RAIS OBAMA NA MITT ROMNEY IT WAS VERY INTERESTING DEBATE KAMA ULIKOSA NDIO MUDA WAKO SASA
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Cha Kabianga, Nafanya Somo la KISWAHILI na Historia Langu ni kwamba Tovuti wenu wa kueneza KISWAHILI kitanifaa zaidi Tukiendelee kukienzi KISWAHILI na Kukikuza huku tukiwa na azimio la kukiboresha leo na hata baadaye katika kazi zenu za ualimu Asanteni
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Cha Kabianga,
ReplyDeleteNafanya Somo la KISWAHILI na Historia
Langu ni kwamba Tovuti wenu wa kueneza KISWAHILI kitanifaa zaidi
Tukiendelee kukienzi KISWAHILI na Kukikuza huku tukiwa na azimio la kukiboresha leo na hata baadaye katika kazi zenu za ualimu
Asanteni