KARIBUNI VYOTE WADAU WA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI KUCHANGIA MAONI, MAKALA, MIJADALA,HOJA MASWALI, MAJIBU NA MENGINEYO YANAYOHUSU LUGHA YA KISWAHILI PASIPO BUGHUDHA WALA KARAHA. LUGHA ZA MATUSI HAZITOVUMILIWA.BLOGU HII HAIRUHUSU MIJADALA YA SIASA WALA DINI AU UTAIFA WA MTU AU RANGI YA NGOZI WALA KABILA. CHANGIA MAONI BILA WOGA KWA MAENDELEO YA LUGHA YA KISWAHIKILI